Pages

Pages

Monday, September 19, 2011

LULU ACHAFUA HEWA BIRTHDAY YA SHILOLE

Msanii wa kigiza aliejichukulia umaarufu kwa vituko jijini Dar ELIZABETH a.k.a LULU jana usiku alipiga denda hadharani na msanii mwenzake ajulikanae kwa jina moja la Sudi huku umati wa waalikwa wakishangilia ukumbini hapo.
Busu liliendelea mpaka wakalala chini kimahaba kumaanisha utamu ulikolea kwani nafasi hii waliipata pale MC aliposoma kuponi yakumtaka Lulu amchague mwanaume ampendae kisha adendeke nae mpaka wale kana kwamba wako kitandani.
 "mama yangu kumbe paparazi wapo..!!"
   Lulu akifungua champaign.
   Shilole na best girl wake sajenti.
 Catty nae alikuepo.
    Mambo yalianza kuaribika pale keki ilipoanza kuvuja rojo..tobaa!
Hee..!! Aunt Ezekieli acha urafi ...utameza?
 Mateja 20 akipwa bonge la hug mtu wangu.
Dude na funs wake.
    Nakulaga... nakulagaaaa...eehh
    Uleviii,, nomaaaa...
     Carina.

No comments:

Post a Comment