Pages

Pages

Sunday, September 18, 2011

VICTORIA MARTIN AMUANIKA MPENZI WAKE


Victoria Martin akiweka pozi kwaajili ya picha na mpenzi wake  huyo maeneo ya samakisamaki Mlimani City ambapo watu wengi walijiuliza kwa muda mwingi nani anachukua mzigo pande zile kumbe ni huyu mjuba wachaa wee!!.



JAMANI ULEVI NOMAAA..!!
  Hivi ndivyo camera yetu ilivyo mkuta mdau mmoja akiwa kapiga mtungi chakari hana hili wala lile isipokuwa kukoloma tu!!!!akiwa kajiegesha kando kando ya barabara ya Tupendane jirani kabisa na Bar maarufu Ijulikanayo kwa jina la Tibyatulwa Inn mjini bukoba.
  kwa maana halisi ya jina hilo ndio kitu kinapelekea jina la mdau huyu lisitajwe.wachambuzi wanadai isingekuwepo na uwepo wa watu eneo hilo wahuni wangemfanya kitu mbaya.


JLO AONEKA NA MARC ANTONY MIAMI
 Jennifer Lopez and Marc Anthony
Recently divorced Jennifer Lopez and Marc Anthony were able to put their differences aside as they came together at their Miami mansion on yesterday, September 17, in honor of Marc's birthday.
The two were joined by their friends, family and of course their twins as they celebrated Marc's 43rd birthday which took place the day before.

PICHA ZETU
 Miaka 50 ya uhuru na Redd's.
 Tarents Day,
 Salma.
 Lilian.
John Dotto.

No comments:

Post a Comment