Pages

Pages

Saturday, September 17, 2011

BREAKING NEWS:WAKAZI WA MWANZA WAVUNJIWA NYUMBA ZAO..!!

Zaidi ya wakazi 100 wa MTAA WA MIEMBE GIZA – KATIKA MLIMA WA KISEKE WILAYANI ILEMELA JIJINI MWANZA WAMEAPA KUTOHAMA KATIKA ENEO HILO KUTOKANA NA MWENYEKITI WA MTAA WA MIEMBE GIZA BWANA KAMANI KUVUNJA MISINGI YA NYUMBA 35 NA NYUMBA ZAIDI YA 100 WALIZOKUWA WAMEJENGA HIVYO KUWASABABISHIA HASARA NA UPOTEVU WA MALI ILE HALI BAADHI YA NYUMBA WANAZODAI KUWA NI ZA MATAJIRI ZIKIBAKIA KATIKA ENEO HILO BILA KUVUNJWA.Wakizungumza na blogu hii katika eneo la tukio wananchi hao wamesema kuwa mnamo mwezi September 3 mwaka huu majira ya saa 10.30 jioni Mwenyekiti wa mtaa huo bwana Kamani akiongozana na watu wake kwa kutumia nguvu alibomoa nyumba na misingi ya nyumba za wakazi hao hali ambayo wanadai ni makosa na haikuwa sahihi. Kupitia amri ya mwenyekiti wa kitongoji hicho nyumba nyingi zimebomolewa, mali kuharibiwa na nyingine kupora huku baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiachwa hawana mahala pa kujisitiri.


ENZI ZA UTOTO WA SALHA ISRAEL

Miss Tanzania 2011 Salha Izrael"QUEEN OT TEZEE" akiwa  katika pozi tofauti wakati wa utoto wake. Salha alivikwa taji la Miss Tanzania 2011 wiki iliyopita Septemba 10, 2011 katika shindano lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.



MISS ANGOLA NA MISS UFARASA WAZUA BIFU KALI
Monday night, the world watched as the very beautiful and well spoken Miss Angola Leila Lopes took the crown as Miss Universe 2011, representing the first win for her African country. With any great victory will of course come criticism. Top 10 finalist Miss France is a bit salty about losing to Miss Angola and has insinuated that Leila didn’t deserve the win.  She tells French Magazine ‘Premiere’:


JENNIFER HUDSON NA DAVID OTUGA'S NDOA IMEIVA
After being engaged for 3 years, Jennifer Hudson and David Otunga's wedding plans are finally in motion!
The R&B diva attended Self magazine’s 4th Annual Women Doing Good Awards in New York City, and shared all the details of her upcoming nuptials with In Touch.


ANGELA SIMONS NA SWAGGA ZA WEEKEND HII
Angela Simmons has officially left the swanky goodness of New York Fashion Week for the sand and warmth of Miami Beach.
Angela sported a pink one piece with a ruffled top that totally looked stunning on her.

No comments:

Post a Comment