Pages

Pages

Friday, October 21, 2011

JAY Z KUTOKEA KATIKA FILAMU YA CATOON


jayzee
 Jay Z amepata kwenye series mpya za Secret Millionaires Club,ambazo zitaonekana kwa mara ya kwanza Jumapili ya tarehe 23 October,2011 kwenye television ya Hub TV


Jay Z atatokea kwa mtindo wa cartoon japo yeye ni mfanyabiashara mkubwa anayemiliki,Brooklyn Nets kampuni ya pamba ya Rocawear na pia ana foundation yake iitwayo Sean Carter Scholarship Foundation. 

  R.I.P MA MEN GADDAFI

Already a monument: As celebrations continued, more and more graffiti appeared at the entrance to the drain where the leader was eventually found
Shimo ambalo waasi wanadai Gaddafi alikamatiwa na kuuwawa.
Still from amateur video of capture of Col Gaddafi, 20 Oct
Gaddafi Kabla ya kifo.
O.M.G super leader died.
Headshot: The body of former Libyan Leader Muammar Gaddafi lies in an ambulance as it is brought to hospital in Misrata, a bullet hole visible in his temple
TV za Libya jana ziliripoti kuwa Muamar Gaddafi amekamatwa na vikosi hivyo kisha kusibitishwa na viongozi wakubwa duiani na kufanya raia kuanza kushangilia kwenye mitaa kadhaa,na kufunguliwa zaidi kuwa Gaddafi amekamatwa pande za hometown kwake,Sirte na amejeruhiwa vibaya kwenye miguu yake na baadae kuuliwa na kutembezwa mitaani na atakua amekaa madarakani kwa miaka 42,tangu 01 Sept 1969 - 20 Oct 2011.
Kiukweli nimesikitishwa sana na kifo cha Gaddafi bcoz he was an Afican lion...tutakiambia kizazi chetu alikuepo kiongozi shujaa hayati Gaddafi....(R.I.P ma friend Muamari). 


AJALI NYINGINE MBAYA MKOANI MBEYA YAZIDISHA MASWALI

MWILI WA MAREHEMU YUDA AMBOKILE UKIWA UMENASA KWENYE GARI.MAJERUHI WA AJALI HIYO MBAYA ILIYOTOKEA MBEYA JANA.

No comments:

Post a Comment