Pages

Pages

Thursday, October 20, 2011

MISS MTWARA KUZIKWA LEO MCHANA KIBAHA


Marehemu Rahma Swai (21) enzi zauhai wake.
Mazishi ya Miss Mtwara 2011, Rahma Swai yanataraji kufanyika leo katika makaburi ya Kibamba nje kidogo ya jijini Dar es Salaam imefahamika.

Akizungumza kwa njia ya simu Mwandaaji wa shindano la Miss Mtwara 2011, Rajab Mchata amesema kuwauamuzi huo ulifikiwa jana baada ya mama mzazi wa Rahma kuwasili akitokea nchini Malawi.

Mchata amesema mazishi hayo yanataraji kufanyika leo majira ya saa 7 mchana maeneo ya Kibamba. 

Rahma alifariki juzi Oktoba 18 katika Hospitali ya Ligula mjini Mtwara na alikuwa akifanya kazi katika kityuo cha Redio cha Safari FM cha mjini humo. 


MADUDU YA RIHANNA KATIKA VIDEO YA "WE FOUND LOVE"
Moments ago, Rihanna premiered the video for “We Found Love,” the first single off of her upcoming album “Talk That Talk”. In the video, RiRi experiences a whirlwind of emotions while getting high off of love that she obviously found in a hopeless place. Unfortunately, it eventually leads to destruction.
The video displays excellent visuals of the highs and lows of love, excluding the use of drugs of course. The chemistry between Rihanna and her co-star Boxer/model Dudley O’Shaughnessy was truly believable.
If you can’t view the video, we have some stills from the video that may intrigue you in the meantime.
rihanna -We Found Love 10
maapenzi hadi mtaani jombaa..
rihanna -We Found Love 7
 Rihanna akirudisha chenji.
rihanna -We Found Love 6
 no stori.
rihanna -We Found Love 5
 Rihanna akichorwa taoo.
rihanna -We Found Love 4
 Staili mpya ya kuvuta sigara moja na mpenzi wako.
rihanna -We Found Love 2
rihanna -We Found Love 8
   chonde..chonde ..ulevi nomaa..!!


MISS KAMPALA UNIVERSITY 2011 MPANGO MZIMA
 
 
 
 
 Huu ndiyo mpango mzima ndani ya Savana lounge jumamosi hii.


 REDD'S ROC DA CITY
Bango la kinywaji cha Redd's lililopo mitaa ya fire liko poa sana.

No comments:

Post a Comment