Pages

Pages

Wednesday, October 12, 2011

MGOMBEA UBUNGE AVUA NGUO KUOMBA KURA KWA WANANCHI

 Mgombea ubunge ambae ni mwanachuo kikuu kimoja nchini poland, Katarzyna Lenart mwenye umri wa miaka 23,anayesomea masuala ya siasaambaye amejitosa kwenye siasa akiwania  ubunge amekuja na staili yake ya kuwavuta wapiga kura kwa kuvua nguo zake na kuonyesha maumbile yake katika halaiki ya watu.
Katarzyna ni mgombea ubunge wa chama cha SLD katika jimbo la mji wa Lublin,na ili kuwavuta wapiga kura, Katarzyna alirekodi video akisaula nguo zake na kisha kuiweka video ya sekunde 40 kwenye YouTube na Video inaanza kwa Katarzyna akiwa amekaa kwenye kiti na kisha kuanza kuvua nguo zake moja baada ya nyingine hadi alipomalizia sidiria yake maandishi yanatokea na kuyaficha matiti yake huku chini yake kukiwa na maandishi yanayosema kama unataka kuona zaidi kipigie kura chama cha SLD kwani ndicho chama kinachoweza kufanya mambo mengi zaidi huku akiamini kuwa video hiyo itasaidia kumjengea umaarufu miongoni mwa vijana na kuwavuta vijana wengi kumpigia kura.
Lakini kwa sasa video hiyo imemuingiza matatani Katarzyna kwani baadhi ya watu wamelaani staili hiyo chafu ya kutafuta umaarufu ili apate kura kwa nguvu pia ni kinyume na sheria za nchi hiyo ya poland.

RIHANNA NA PICHA ZA UTUPU KATIKA JARIDA
rihanna esquire  5
Rihanna certainly doesn’t have any problems with sex appeal. She shows off all of her assets for Esquire‘s latest cover after being named their Sexiest Woman Alive. Inside, she discusses being the most famous person to come out of her country, staying fit and why she has to drink liquor before every show. She also explains how she chooses the person who will receive a lap dance at her show and she reveals that she is proud of Chris Brown and the breakthrough he’s had in his career.
rihanna esquire  3
On Being ‘Hated’ by Her Home Country Early On in Her Career
I grew to realize that that hate was just pride. I realized that it’s a part of our culture. I’m always representing Barbados. All over the world, no matter what I was doing, no matter what I achieved, no matter what award it was, I always shouted them out. So, I started making them feel like, “This is our girl. If people in the UK could get this excited about her, what’s wrong with us?” And I never turned my back, too.



MATIBABU YA MTOTO CECILIA YAGOMA ARUDISHWA NA MARADHI YAKE
Mtoto Cecilia alitangazwa karibuni na Vituo mbali mbali vya habari akiomba msaada wa kusaidiwa pesa za matibabu ambazo zingeweza kumwezesha kufanyiwa operesheni ya moyo ambao umempelekea mpaka Tumbo lake kuvimba kama unavyoliona. Taarifa za Cecilia ziliweza kutolewa na Miss Tanzania wa mwaka 2006 Bi .Hoyce Temu pale alipoamua kujitokeza na kumtangaza Cecilia akiomba msaada huo. Wasamaria wema walijitokeza na kumsaidia Cecilia mpaka akaweza kwenda India kwa matibabu, cha kusikitisha sana ni kwamba matibabu yake kwa njia ya operesheni yameshindikana kutokana na moyo wake kwa upande mmoja kuathirika na sumu ambayo madaktari wa India wamesema inasababishwa na Sumu ambayo ipo kwenye Mihogo, sumu hiyo huwaathiri sana watoto wenye umri kama wake. Kwa hiyo imekuwa ni vigumu kumfanyia operesheni hiyo, wakashauri atumie dawa tu ili kuweza kuitoa sumu hiyo, Mtoto Cecilia mpaka sasa hali yake sio nzuri anawaomba watanzania mumuombee ili aweze kupona na aweze kutimiza azma yake ya kuwa Mwalimu. Watanzania tunashauriwa tukiona hali ambayo ni tofauti kwa watoto wetu tuwawaishe Hospitali mapemakwa uchunguzi tunaweza tukawahepusha na hali kama hii aliyofikia Cecilia.


NIKKI MINAJ AWATEGA AMERICA MUSIC AWARDS

Earlier today, the 2011 American Music Awards nominees were announced, and rapper Nicki Minaj stole the show at the press conference as she showed off her two toned blonde and blue hair and show stopping cleavage. At the conference she learned she had two nominations this year for Favorite Rap/Hip hop Artist and Best Rap/Hip hop Album.
Sharing the spotlight with Nicki is her boss Lil Wayne who’s going head-to-head with her in the Rap/Hip Hop categories, and he also snagging a nomination for Artist of the Year as the only male and only rap/hip hop nominee in that category. Singer Adele is looking at 4 nominations including Artist of the Year and Best Female Artist: Pop or Rock.
Nicki Minaj at AMA
Beyonce snagged two Soul/R&B nods including Best Female Artist against Rihanna and Kelly Rowland, while her husband Jay-Z’s project ‘Watch The Throne’ is going toe-to-toe with Lil Wayne’s ‘Tha Carter IV’ and Nicki Minaj’s ‘Pink Friday’ for Best Rap/Hip Hop album. Chris Brown, Trey Songz and Usher are also up for AMA Awards this year.


KHANGA MOJA NDEMBENDEMBE
Mmoja wa wanenguaji wa kundi la Kanga moja akinyesha umahili wake wakati wa shoo ya bendi ya Extra Bongo kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii
Ni lazima uende na Spidi ya mdundo babaakeee..
      Wazee wa jikoni mpooo.... dushelelee...dushelelee..

JUSTINE BIEBER AFUMWA NA KIBINTI KINGINE
 
Msanii toka majuu Justin Bieber amefumwa akindendeka na demu mwingine ambae si Selena Gomez ambae ni Girlfriend wa Bieber.

No comments:

Post a Comment