Pages

Pages

Thursday, October 13, 2011

WANAFUNZI MAKAHABA WAWALIZA WAZAZI DAR

   
(Wanafunzi wa kiafrika akiwemo mtanzania wakisubiri wateja wa miili yao nje ya night club nyakati za usiku jijini kualar lumpur)
  Utafiti uliofanywa na blog hii dhidi ya wazazi wa wanafunzi wanaoenda nje ya nchi kwaajili ya mosomo uniqueentertz ibaini kuwa asilimia 99 ya wazzi hao wanalaumu vitendo vya namna hiyo dhidi ya mabinti zao ambapo wazazi hujibana matumizi kwa lengo la kuwapa elimu bora watoto wao lakini wanafunzi hao huenda kinyume na matarajio ya wazazi wao.
   Hivi karibuni jarida moja jijini Kuala Lumpur nchini malaysia lilipoti jinsi wanafunzi wa kiafrika wakiwemo watanzania wanavyofanya vitendo vya biashara ya ukahaba nyakati za usiku angali wazazi wao wanajua wako masomoni,wasichana hao hujipatia elfu 80 kwa show time na kulala na mteja ni mpaka kiasi cha laki tatu,hasa kipindi hiki cha baridi ulaya watalii wengi huja Malysia kubadili hali ya hewa.
  Wazazi hao ambao walitoa dukuduku lao kwa sharti la kutotaka kutajwa majina yao bloguni wamehuzunishwa na taarifa hii na kufuatia vitendo hivi wazazi wengi wameonyesha kukatishwa tamaa na kupeleka watoto wao wa kike nje ya nchi kwani wameona wanachoendea si masomo ni ukahaba tu japo si wote wanaofanya vitendo hivi wawapo huko.


MASTAA NA USALI WA NDOA ZAO

Why is Gwyneth Paltrow locking lips with Mark Ruffalo if she's married to Chris Martin?

Will Chris Martin send Jay-Z and the Roc Boys after Mark?!


WAZIRI WA FEDHA AKUMBWA NA KASHFA YA UFISADI KATIKA WIZARA YAKE
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika Hodhi la Mashirika ya Umma (CHC), wakati ambao bodi hiyo ilikuwa ikisubiri kupokea ripoti ya ukaguzi uliofanywa na Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ukilenga kubaini tuhuma za kuwapo kwa ufisadi katika shirika hilo. Msingi wa uchunguzi ndani ya CHC, ni maombi ya Bodi ya shirika hilo hodhi kwa CAG, kufuatia kuwapo kwa tuhuma kwamba menejimenti yake ilihusika na vitendo vya ufisadi, hivyo kusababisha kusimamishwa kwa Kaimu Mkurugenzi wake, Methusela Mbajo. Ofisi ya CAG ilifanya uchunguzi kwa kutumia kampuni ya kimataifa ya ukaguzi wa hesabu ya Ernst&Young, ukaguzi ambao pia ulilenga kubaini tuhuma dhidi ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), inayoongozwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.

No comments:

Post a Comment