Pages

Pages

Sunday, October 2, 2011

ROSTAM AZIZ ALIPULIWA NA MGOMBEA IGUNGA


   Mbunge wa Igunga aliyejiuzulu hivi punde kwa kudai amechoshwa na siasa uchwara jana amelipuliwa na Mgombea ubunge wa chama pinzani kuwa Rostam alichukua basi la wananchi wa Igunga kwa nia ya kwenda kulikarabati lakini ilikuwa kinyume na matarajio ya wananchi ambapo anadai hawajui basi hilo liko wapi mpaka sasa hivi.
    Basi hili lilinunuliwa kwa nguvu za wananchi kama kitega uchumi na nyaja ya kusadia usafiri wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani lakini mpaka leo hapajulikani basi lao litarudishwa lini zaidi ya kubaki skrepa katika gereji ya Bilionea huyo.
    Mwanasiasa huyo aliyaongea haya wakati akifanya mahojiano na Hamis Damumbaya wa mlimani Tv ambapo kipindi kiliruka jana jioni ikiwa ni lala salama ya kampeni jimboni Igunga.


MAUNO YA RODGERS LUCAS YAMALIZA CHUKI ZA MASTER J
  Rodgers alimaliza mzizi wa chuki dhidi ya jajai ambae anaonekana kutomfagilia kwa kila jambo.
  Master Jalirushwa roho wiki hii na mshiriki huyo wa BSS ambae mwisho wa kuimba kwake alikata mauno kitu ambacho kilimkosha sana jaji huyo na ndiyo ikawa mara ya kwanza kwa jaji huyo kumsifia Rodgers toka alipoingia katika mtanange huo.
   Kumbe chuki zote zile zilikuwa ni Mauno tu,wakati huohuo mshiriki mwenye nidhamu chafu bado inashikiliwa na Bela kombo..dooo!! doze doze.


NI "layit on me" WA KELLY ROWLAND
The fabulous Kelly Rowland takes her sex appeal to another level in this teaser clip from her new video, "Lay It On Me.".

 KANYE WEST NDANI YA FASHION SHOW

Kanye West offered up his debut fashion line during Paris Fashion Week earlier today and the result was as cool, cutting edge and luxe as one would expect from the inimitable hip-hop visionary. 
Named Dw, after his mother Donda West who passed away in 2007, the line offered up a collection of neutrally shaded tough girl chic ensembles, heavy on layering and texture.

KIBABU CHAJIRUSHA NA MADEMU WADOGO UFUKWENI

The boss man, Russell Simmons, is currently getting some R&R down in Miami.
While vacaying in the sunshine state as his birthday approaches, Uncle Rush hit up the beach with the company of two beautiful women.

No comments:

Post a Comment