Pages

Pages

Saturday, October 15, 2011

SALHA ISRAEL ASHINDWA KUUDHURIA SHEREHE ZA KUMPONGEZA,LUNDENGA AFUNGUKA,KALIKUMTIMA ATEMA CHECHE,BOY GEORGE NAE ATIMKA

 
 Isa michuzi(fateher blogs) akifungua kipengele cha muziki  na mrembo silvia shaly ukumbini hapo.
   Jackson Kalikumtima akiwa na Miss tanzania namba 3 wakizungumza na wageni waarikwa.
Baadhi ya watu mashuhuri jijini DAR  wakiwa mbele tayari kufungua show.
   MISS tanzania 2011 Salha israel alishindwa kutokea katika sherehe aliyoandaliwa na mwaandaji wa kanda akishirikiana na kamati ya Miss Ilala Bw. Jackson Kalikumtima ambayo ilifanyika jana katika hoteli ya JB Belmont ilyopo posta mpya.
   Mpaka mida ya saa nne mgeni mahususi hajatokea ndipo Kalikumtima aliposhika kipaza sauti na kuwaambia watu ukweli kuwa Salha hatofika ukumbini hapo kutokana na agizo alilopewa na kamati ya Miss Tanzania asihudhulie hafla hiyo ya kumpongeza mrembo huyo aliyetokea kanda ya Ilala ambayo ndiyo iliyomwandalia hafla hiyo.
  UNIQUEENTERTZ ilifanya enterview na Hashim Lundenga asubuhi ya leo ili kubance habari hii kwa pande zote,ndipo Anko Hashim alipofunguka na kusema "ni kweli nimemzuia Salha asiende kwenye hiyo party sababu sisi tumepata mwaliko wa sherehe hiyo mida ya saa kumi jioni tena kwa simu na wala si kwa kadi wala barua ya kuitaarifu kamati ya Miss Tanzania  na wadhamini Vodacom.kuwa mrembo Salha atakuwa huko hivi vitu havikuenda official napia lazima jackson atambue Miss Tanzania anakuwa chini ya Kamati na hawezi kwenda ghaflaghafla tu bila kuwa na taarifa rasmi za kimaandishi" alifunguka Lundenga.
   Tulipomtafuta Salha kwenye simu alizima kabisa simu yake,hata hivyo salha hana sababu yoyote ya kulaumiwa mambo haya yako juu ya uwezo wake mpaka tunaenda mtamboni kwa habari tulizonazo za uhakika Boy George nae amejiengua mbali ya swaiba wake jackson Kalikumtima kujitoa rasmi jana kuandaa mashindano ya umiss kupitia Miss Tanzania.
 Kanumba,Sinta na JB.
 J family (jackson,jannet and jesse.
   Msosi sasa babaake...
   Sinta.
 Boi George na ......!!
 Edwn(Mkurugenzi wa Edge akiwa na mchumba wake anaetarajia kumvisha pete hivi karibuni)
 Hamisa hasan
 Jk na msosi..
 Lilian.
 Jennifer kakolaki.
 Alexia.
 Miss Kinondoni 2011.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa usiku wa jana katika hoteli ya JB Belmont.

NGUMI KUPIGWA ILALA KESHO MABONDIA WAKUMBUSHWA SHERIA

Kocha wa mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli akiwaelekeza vijana toka klab mbalimbali jinsi sheria za mchezo wa ngumi zinavyokua wawapo ulingoni michuano ya mchezo wa ngumi inatarajiwa kulindima kesho jumapili katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni
Babondia wakiwa katika picha ya pamoja na makocha wao wakati wa upimaji wa uzito kabla ya kupambana kesho

No comments:

Post a Comment