Pages

Pages

Monday, October 17, 2011

WAREMBO

Miss Kampala Internationa 2011 imeandaliwa na serikali ya wanafunzi ikishirikana na wadau maarufu wa mabo ya urembo na mitindo nchini Tanzania,tiketi za fainali hizi zinapatikana CLOUDS fM,CHUONI KWAO,JB BELMONT HOTEL,SAVANNA LOUNGE(quality center)kitchen hut (mlimani city) kwa iasi cha 10,000/= (regular) na V.I.P 30,000/=
 
 
Shindano hili limedhaniwa na Savanna Lounge hotel,Belmont hotel,clouds fm,Air Uganda na uniqueentertz blogspot.


UKARABATI WA BARBARA YA PUGU UNAENDELEA 
Harakati za kubooresha barbara ya kuelekea air port zinaendelea.

No comments:

Post a Comment