Pages

Pages

Tuesday, October 18, 2011

YAPAMBA MOTO


 Sauda simba (main Character wa filamu ) akizungumza na waandishi wa habari leo katika hoteli ya JB Belmont iliyopo jijin dar ambpo alifafanua kuwa filamu hii itazinduliwa tarehe 24/11/2011 katika mfumo wa sinema na kuonywa mlimani city kwa muda wa wiki nzima.
Mtunzi wa filamu YA CPU Novatus Magurusi akielezea namna alivyoitunga filamu hiyo yenye azimoi la kupeleleza matatizo mabalimbali yanayowakumba watoto,CPU imetengenezwa kwa kiwango cha hali ya juu na inatarakiwa kuleta mapinduzi ya filamu Tanzania
Mratibu wa CPU Bw.Evans Bukuku alisema filamu hiyo itazinduliwa tarehe 24/11/2011 pale World Cinema saa moja kamili jioni naitaonyeshwa kwa wiki nzima kuanzia tarehe 25/11 na pia itapelekwa mikoani kwa maonyesho zaidi.

No comments:

Post a Comment