Pages

Pages

Wednesday, October 19, 2011

MISS TANZANIA SALHA ISRAEL ATIMKA LONDON LEO


 Salha alipokuwa akielekea Uwanja wa ndege hii leo.
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kushoto) akizungumza jambo na mama yake mzazi, Sabrina Hamisi (kulia) na mdogo wake Sania Izrael kwenye  uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 mudamfupi kabla hajaondoka nchini kwend
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kushoto) akiwa na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao. 


JIJI LA DAR BADO CHAFU
Kwamtogole
 sinza
mwenge

No comments:

Post a Comment