Pages

Pages

Tuesday, November 22, 2011

MALKIA WA MICHANO KUWASHA MOTO JUMAMOSI HII TANGA

  Shindano la kumsaka malkia wa michano kwa mkoa wa Tanga litafanyika jumamosi hii 26 Novemba katika viwanja vya Mkwakwani mkoani tanga,ambapo milango ya uwanja itakuwa wazi kuanzia saa tisa mchana hadi saa sita usiku.
 Jumla ya washiriki 5 waliochujwa watapanda jukwaani kumenyana ikiwa wote ni wa jinsia kike tu ambapo mshindi ataungana na washindi wengine wa mikoa mingine ambapo fainali itakuwa jijini Dar.

 Jukwaa litapambwa na wasanii wakali toka katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya kama vile Matonya,Zed Anto,domokaya,jose Mtambo,chiku,Gtk,mzee majuto na kundi lake,kibao kata na wasanii wa mkoa wa Tanga.
  Kingilio ni Tshs 1000/= kwa watoto na wakubwa Tshs 2000/= tu na Vip watalipa 50,000/= ambapo pesa zote za tiketi za v.i.p zitajenga ukuta wa mahabusu ya watoto iliyopo barabara ya 15.


WAZIRI MKUU MISRI AJIUZURU
Baraza la mawaziri la Misri limeomba kujiuzulu kufuatia maandamano ya siku tatu kupinga watawala wa kijeshi nchini humo,televisheni ya taifa imeripoti. Msemaji wa baraza hilo la mawaziri Mohammed Hegazy amesema kwamba ombi lao la kujiuzulu bado halijakubaliwa na baraza la kijeshi linalotawala Misri. Na wakati msemaji huyo alipokuwa akitoa taarifa,maelfu ya waandamanaji waliendelea kufika katika medani ya Tahrir. Kufikia sasa zaidi ya watu 30 wameuwawa na wengine wapatao 1,800 kujeruhiwa kutokana na machafuko ya siku tatu yalioshuhudiwa katika mjini Cairo. Wakereketwa na waandamanaji wamekuwa wakilishinikiza baraza kuu la kijeshi linalotawala kukabidhi mamlaka kwa serikali ya kiraia.


JUSTIN BEIBER NA MTOTO WA NJE PAFIKIA PATAMU
1121_justin_bieber_EX_01
Justin Bieber
took a DNA test on Friday night in New Jersey, and now it's baby mama's move ... UNIQUEENTERTZ has learned.
We've learned ... Justin took the test at a lab under "very controlled circumstances."  We're told there is a solid chain of custody, so it's going to be hard for Mariah Yeater or her lawyer to challenge it.
As we first reported, Justin's team will NOT settle or even discuss settlement with Yeater or her lawyer.  It's now up to her to provide DNA results from Mariah's baby.
Justin has vowed to sue Mariah and her lawyers once he establishes he's not the daddy.
Mariah's lawyer was unavailable for comment.


BENKI YA NIC YADHAMINI MASHINDANO YA GOFU

 Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NIC Tanzania, James Muchiri (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Mikopo wa benki hiyo Bi Regina Mwengi, Prisalla Karobia na David Muthungu kabla ya kuanza kwa michuano ya gofu iliyoandaliwa na Lions Club na kufanyika kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam. Benki hiyo ilidhamini kiwanja namba kumi kwa shilingi Milioni 3.5.
Priscilla Karobia ambaye ni mmoja ya wanacahama wa Kalbu yak Gymkhana akiangalia mpira baaada ya kuupiga wakati wa Mashindano ya Gofu yaliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana ili kusaidia watu wenye matatizo ya kuona ambapo benki hiyo ilidhamini kiwanja namba kumi kwa shilingi Milioni 3.5.


RED CARPET YA AMERICA MUSIC AWARDS 2011

Jennifer Lopez.

Katherine Heigl.

Nicki Minaj.

Anne V.

Taylor Swift.

Mary J Blige.

Katy Perry.

Heidi Klum.

Selena Gomez.

Jennifer Hudson.

No comments:

Post a Comment