Pages

Pages

Monday, November 21, 2011

WAZIRI KIVULI (SUGU) KUTUMBUIZA NOVEMBA 26

Waziri kivuli wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (kulia) Joseph Mbilinyi a.k.a Mr, SUGU akionyesha kitabu ambacho ameelezea maisha yake kitakachopatikana wakati wa Shoo ijulikanayo Anti Virus katika Tamasha la Burudani kwa washabiki2011 litaakalofanyika Nov. 26,2011 jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wadau wa michezo, (kushoto) ni Msanii Fred Malaki a.k.a. MKOLONI.
Waziri kivuli wa Wizara ya Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Joseph Mbilinyi (a.k.a. MR. SUGU -alievalia kadeti) leo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam 21-nov-2011 kuhusu shoo ijulikanyo Anti Virus wakati wa Tamasha la Burudani kwa washabiki 2011-i litalaofanyika jijini DSM hapo Nov. 26 na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi,(kushoto) ni Msanii Fred Malaki (a,k,a- MKOLONI) n a Mwanadada Zainab Lipangile a.k.a ZAY –B, Katika tamasha hilo Wasanii mbalimbali watatumbuiza,. Msanii Suma g akiimba mbele ya wana habari katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam leo.  

KARIBU GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL
 Front view.
 Swimming pool.
 
 Leta watoto wako siku za weekend wafurahie na watoto wenzao katika hoteli yenye hadhi ya nyota tano kwa bei za kitanzania.



Kanye West
Kanye West
It looks like Kanye West got lucky in Miami. Last night, the 34-year-old Watch The Throne rapper was spotted picking up a cute brunette in Mokai nightclub, a popular hotspot in South Beach.
 
VAZI BORA LA AMERICA MUSIC AWARDS 2011
After putting on a killer performance, Jenny From The Block aka Jennifer Lopez, gladly accepted her win for Best Latina Artist 


The diva was stunning in an all black one sleeve, cut out dress that covered her in all the right places. Jennifer's gown was a beaded and woven over silk   2011 Fall Couture gown by Zuhair Murad.

Check out their performances(jlo & pitbul live on stage)

Jennifer was a little taken aback that she won, but of course pulled it all together and gave recognition to her fans and the Latino people who have been supporting her since her Living Color days.
  Jennifer Lopez  
Jennifer Lopez

No comments:

Post a Comment