Pages

Pages

Wednesday, November 30, 2011

MARIAM RAMADHANI MREMBO MWENYE NDOTO ZAKUWA MWANAMITINDO MKUBWA

 
 
 
 
 
 Mariam Ramadhani ni msichana mrembo anaependa tasnia ya urembo na Mitindo,tunachukua fulsa hii kumtambulisha kwenu wadau kama ilivyo ada ya UNIQUEENTERTZ kuwatambulisha modoz na warembo wapya katika duru husika kazi kwenu wadu.

WATANZANIA WAISHIO UK WAANDAA MAOMBI YA KUIOMBEA TANZANIA NA KUTIMIZA MIAKA 50 YA UHURU

Waandaaji wa maombi ya ya Miaka 50 ya Uhuru chini Uingereza ”Association of Tanzanian Christians in Europe(CITE)” Wakiwa na Mwl Christopher Mwakasege wakati wa Summer Confference 2009.
Mithali 14:34 Biblia inasema Haki ya Mungu huinua Taifa na huu ndio mstari wa kusimamia katika Maombi hayo yanayowajumuisha watanzania wote waishio nchini Uingereza Hususani katika jiji la London. Kwa Mujibu Wa Mchungaji Emmanuel Chatawe ambaye ni mmoja wa waratibu wa Maombi hayo maombi hayo yatahudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na viongozi wa dini kutoka madhehebu mbalimbali.

No comments:

Post a Comment