Pages

Pages

Wednesday, November 9, 2011

SAIDA MWILIMA AVISHWA PETE YA UCHUMBA KWA MBINDE

 Mtangazaji wa Luninga Saida mwilima amevishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mchumba wake wanotarajia kufunga ndoa hivi punde.
 Hii ndo pete aliovishwa mtangszaji wa kipindi cha Bongo beat cha Star Tv.
 Nasibu akiwa na mchumba wake Wema sepetu nao walialikwa .
Sauda mwilima akicheza muziki kwa furaha na mchumba wake baada ya kuvishana pete siku hiyo. 


  KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu pamoja na wanachama wengine 25 wa chama hicho wamekamatwa na kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa tuhuma za kufanya mkusanyiko usio halali.
  Mbali na hao, mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ametakiwa kujisalimisha mwenyewe polisi baada ya kutoweka katika Viwanja vya NMC Unga Limited baada ya polisi kufanya operesheni ya kushtukiza kuwatawanya mamia ya wafuasi wa chama hicho na viongozi wao waliokesha hapo usiku wa kuamkia jana. 
 Juzi, viongozi hao wa juu wa Chadema walitangaza kupiga kambi kwenye viwanja hivyo kwa siku tatu ikiwa ni shinikizo la kutaka mahakama itoe kibali maalumu cha kumtoa gerezani Kisongo, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ambaye naye anatuhumiwa kufanya mkusanyiko usio halali.
  Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Akili Mpwapwa alisema jana kwamba viongozi hao walikamatwa alfajiri ya kuamkia jana baada ya polisi kuvamia mkutano huo wa mkesha.


Last night, NY’s Carnegie Hall hosted the 21st annual Glamour Women of the Year Awards, where several fabulously accomplished women in fashion, arts, politics, and social justice were honored. LaLa Anthony, Kerry Washington and Jennifer Lopez were in attendance.
LaLa Anthony



MUONEKANO MPYA WA 50 CENT
50 Cent
50 CENT akiwa katika pozi la suti na muonekano mpya kichwani na suti imemkaa vilivyo(stylish man)
50 Cent

No comments:

Post a Comment