Pages

Pages

Wednesday, November 9, 2011

MBOWE AJIKABIDHI MIKONONI MWA POLISI

Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mbowe akiingia katika ofisi za mkoa za Jeshi la Polisi mkoni Arusha leo,aliyevaa nguo nyeusi ni Mbunge wa Viti Maalumu wa Chadema,Joyce Mukya akiwa amemsindikiza mwenyekiti wao kujisalimisha Polisi.

TANZANIA BABO KITENDAWILI WORLD CUP 2014
Mbio za kwenda Brazil zinaanza mwishoni mwa juma hili na kuna nchi zaidi ya 200 zitakua zinagombania nafasi 31 huku nafasi moja ikiwa tayari imeshachukuliwa na mwenyeji.

Ni kama mwezi tangu tumefungwa na Morocco katika mechi ya mwisho ya kufuzu CAF 2012, Tulienda Morocco tukiomba miujiza na kwa bahati mbaya miujiza haikutokea, ukweli ulionekana kwamba Morocco walikuwa wazuri kuliko sisi, Kocha wetu mkuu Jan Poulsen pamoja na wachezaji wetu walikiri wenyewe kuzidiwa kimpira.

Sasa tunaenda kuwakabili Chad hata kama tukifanikiwa kuwatoa kwenye hii raundi ya awali lakini bado tutakaokutana nao mbeleni ni hao hao Morocco pamoja na miamba mingine kama Ivory Coast kwenye hatua ya makundi.



CRISS BROWN ABAMBWA NA MREMBO WA KIBRAZIL 

The ladies love Chris Brown, and he loves them right back. 

Chris Brown was snapped taking sexy and fun pictures with a Brazilian bombshell named Suelyn Madeiros.
siku kadhaa nyuma:

We haven't seen Chris Brown's girlfriend Karreuche Tran in a while, which had many people suspecting the two called it quits. 

Now, Chris is pictured huggin' up on a hottie with a body. Seems like the photos were taken by a friend hanging out with Chris and Suelyn in a hotel room. 

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI ONESHO LA SANAA LA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa Onesho maalum la Vyombo vya Ulinzi na Usalama (VUU) lililoandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza Watanzania kwa kudumisha amani na Umoja katika kuelekea Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Onesho hilo lilifanyika jana jioni Novemba 8 katika Ukumbi wa Diamond jubilee Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Wasanii wa ngoma ya asili wa kikundi cha Sanaa cha Polisi, wakionyesha umahiri wao jukwaani wakati wa Onesho maalum la Vyombo vya Ulinzi na Usalama (VUU) lililoandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza Watanzania kwa kudumisha amani na Umoja katika kuelekea Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam jana jioni Novemba 8. ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

Michael Jackson Death Bed Up for Auction

1109_mj_room_AP_BN_01
File this under creepy -- You can wake up in the same spot where Michael Jackson didn't ... because his death bed is officially hitting the auction block.

The queen-size bed is just one of the many items from the Holmby Hills home where MJ died that will be included in a Julien's Auctions event next month.

We're told the bed is still in good shape -- but linens have been changed, since MJ's death.

Other items included in the auction are a mirror from Jackson's "inner sanctum -- a private bedroom in the home where NO ONE else was allowed to enter.

A rep for Julien's says the mirror contains an inspirational message Jackson scribbled on the piece for himself regarding his This Is it concert tour -- which says, “TRAIN, perfection, March April. FULL OUT May."

The auction is scheduled to take place on Dec. 17.

No comments:

Post a Comment