Pages

Pages

Wednesday, December 21, 2011

AT AFUTIWA URAIA ZANZIBAR

Msanii AT kutoka ZANZIBAR amesema ameshtushwa SANA na kauli ya banda la SANAA la ZNZ kwamba YEYE sio RAIA wa ZNZ.
stori kutoka Zanzibar zinaamplfy kwamba, kuanzia sasa kwa sababu msanii huyu maarufu kwa nyimbo za MDUARA anaishiTanzania BARA, itabidi awe analipia anapokwenda kufanya showz ZNZ.
AT amesema “mimi ni mzaliwa wa ZNZ, nimezaliwa sehemu inaitwa MWEMBELADU na watu wote wananifaham, sasa isiwe jazba za matu mmoja zinaniharibia, WAMENIDHALILISHA manake kumvua mtu uraia ni KOSA KUBWA sana, ni sijawasamehe kabisa wanaione MAKUSUDI, wakati wao hata sio UHAMIAJI
ameongeza kwamba, “naomba nirejeshe vitambulisho vyote, naomba niwape karatasi za kuzaliwa, mtizame alaafu mnitafutie nchi yangu mnipeleke ndani ya saa 24″ – AT
hii ishu imetokea siku moja tu baada ya AT EXCLUSIVE kwamba video yake ya bao la kete imefungiwa kuchezwa katika TV visiwani humo kutokana na kutokua na maadili.

No comments:

Post a Comment