Pages

Pages

Wednesday, December 21, 2011

ULEVI WALETA AJALI YA GARI KUINGIA SEBULENI

Gari aina ya Forester ikiwa imeama barabara na kugonga mlango wa Nyumba kana kwamba ndio imefika inapo takiwa kufika,tukio hili limetokea majira ya saa 5 usiku.
Mzee Ali pichani Baba wa familia katika nyumba hii akinionyesha hali ya vitu vilivyo alibika.
Nyumba hii ipo kati ya makutano ya barabara ya Kashozi na barabara ya Arusha,maarufu kama maeneo ya kengere tatu mjini bukoba.

No comments:

Post a Comment