Pages

Pages

Wednesday, December 21, 2011

MVUA ZAPELEKEA DARAJA LA JAGWANI KUFUNGWA HAPAPITIKI


Hapa ni mahali ambapo pamewekwa uzio ili kuzuia watu kuvuka ng'ambo yaani uapnde wa pili.
 Hali ni mbaya katika barabara ya Morogoro eneo la Jangwani ambapo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakiishi hapo, japokuwa serikali imekuwa ikiwaambia hawatakiwa mkujenga katika eneo hilo kutokana na madhara yanayoweza kutokea endapo mvua zitanyesha,Lakini hali ndivyo ilivyo kwa sasa.
Akina mama hawa wakilia baada ya kuokolewa kwenye maji hapa walikuwa wakielekea kupanda gari tayari kwa kuwapeleka hospitali ya muhimbili kwa uangalizi zaidi wa afya zao. Ni  watu wakiokooa vitu vyao na kuviweka kando ya barabara ya Morogoro.
Baadhi ya nyumba zikiwa zimezingirwa kabisa na maji katika eneo la Jangwani.


ARIZONA MUSE AWA VOGUE TOP MODEL 2011
She's a model, mommy and her momentum of the year has earned her the crown as Vogue's Top Model of 2011.

arizona muse immediately sparked intrigue in the fashion industry at the beginning of the year, when even Vogue's top Editor-In-Chief Anna Wintour couldn't resist paying homage to the fresh faced muse.
"When I look at Arizona, I see shadows of Linda Evangelista and  atalia Vodianova, but most of all I see her, a gorgeous, smart, grown-up. And how could anyone resist someone with that name?" Anna gushed. 

No comments:

Post a Comment