Pages

Pages

Monday, December 5, 2011

FAMILY DAY YA WAFANYAKAZI WA NBC-SOUTH BEACH

 Baadhi ya wafanyakazi na wanafamilia wa benki ya NBC wakishindana katika mchezo wa kufukuza kuku katika Siku ya Wanafamilia ya benki hiyo katika Hoteli ya South Beach, Dar es Salaam.  Mshindi wa mbio hizo huondoka na kuku huyo na kwenda nae kumfanya kitoweo au kumfuga.
 Baadhi ya wafanyakazi na wanafamilia wa benki ya NBC wakishindana katika kuvuta kamba ili kumpata mshindi katika Siku ya wanafamilia ya benki hiyo katika Hoteli ya South Beach, Dar es Salaam.
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa benki ya NBC wakifurahi katika bwawa la kuogelea ikiwa ni baadhi ya burudani kuadhimisha Siku ya Wanafamilia ya benki hiyo katika Hoteli ya South Beach, Dar es Salaam.

  MIGUE COTTO AMDUNDA ANTONIO MARGARITO


Miguel Cotto (right) connects against Antonio Margarito during their fight at Madison Square Garden. Cotto won by TKO before the 10th round when the ring doctor stopped the fight.
Antonio Margarito akionekana jicho lake limevimba kutokana na masubwi aliyokua anatupiwa.



Vijana wanaopandisha Mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro wanaonekana wakianza safari yao kwenye hifadhi ya Mlima Kilimanjaro Marangu Mkoani Kilimanjaro leo tarehe 5.12.2011.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Leonidas Gama akimpa mkono wa kumtakia heri mmoja wa vijana wanaopandisha Mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro kwenye hifadhi ya Mlima Kilimanjaro zilizoko Marangu Mkoani Kilimanjaro leo tarehe 5.12.2011.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas Gama pamoja na Viongozi wa Mkaoa wa Kilimanjaro na wawakilishi wa Wizara ya Habari ,Vijana ,Utamaduni na Michezo wakiwasindikizaVijana wanaopandisha Mwenge wa Uhuru kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro tayari kwa safari leo Marangu kwenye Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro Mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment