Pages

Pages

Monday, December 5, 2011

MR. EBBO AZIKWA LEO..MAJONZI YATAWALA MSIBANI


Baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na majirani wakiuaga mwili wa marehemu, Arusha leo hii.


Mwili wa marehemu, Mr Ebbo ukiwa katika jeneza tayari kwa kwenda kuzikwa

Mke wa marehemu akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuuaga mwili wa mumewe.

Wazazi wa marehemu kutoka kulia ni baba yake na mama yake.

No comments:

Post a Comment