Pages

Pages

Tuesday, December 6, 2011

BREAKING NEWS: AKON AZUSHIWA KAFARIKI

                                        
  Mwanamuziki mwenye asili ya kisenegal AKON ashie nchini USA alizushiwa kafariki dunia kutokana na ajali ya gari iliyotokea nchini SOUTH afrika ambako alienda kibiashara na kazi yake ya muziki.

  Habari hizi zilishtua wengi mara baada ya baadhi ya mitandao mbalimbali kuandika Akon kapata ajali na huenda kapoteza maisha kutokana na ajali hiyo.
  Akon ni mwanamuziki pekee toka afrika ambae anawakimbiza warekani ncini kwao,mwamuziki huyu ametamba na vibao viali ambavyo vimetikisa dunia .
        
Uchunguzi wa UNIQUEENTERTZ unaonyesha kwamba mpaka sasa hakuana taarifa yoyote inayosema Akon kapatwa na tukio la kusikitisha dunia.


 AT,GTK,ZED ANTO,JOSE MTAMBO,CHIKU K, MZEE MAJUTO,NEY KUWASHA MOTO JUMAMOSI HII MKWAKWANI STEDIUM TANGA

  Msanii wa kizazi kipya GTK Mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo cha IFM ambae anaratibu shindano la Malkia wa michano amesema leo jijini Dar kuwa shindano litakuwa la aina yake kwani maandalizi yote yametimia na washiriki wapo katika hali ya ushindani.
  Siku ya jumamosi HII katika uwanja wa MKWAKWANI moto utawashwa na wasanii wakubwa vile AT,GTK,ZED ANTO,CHIKU K,JOSE MTAMBO,BYCOCO, MZEE MAJUTO NA KUNDI LAKE,NA WASANII KIBAO TOKA TANGA.
  Ni changizo la pesa kujenga ukuta wa mahabusu ya watoto iliyopo barabara ya 15.
   kiingilio ni 1000/= tu ndani ya mkwakwani stedium sku ya tarehe 10 desemba jumamosi hii.nyote mnakaribishwa.
  Awali shoo ilihairishwa baada ya mwandaaji kufiwa na mzazi wake siku tatu kabla ya shoo

No comments:

Post a Comment