Pages

Pages

Thursday, December 8, 2011

JUSTIN BIEBER NA MPENZI WAKE SERENA WAPONDA RAHA FUKWE ZA MEXICO


 
                                          
                                    
Justin Bieber was smothered by his smokin' hot adult girlfriend Selena Gomez in Mexico yesterday ... and was so impressed by her incredible physique ... he snapped a few pics to capture the moment.
The couple is south of the border for a friend's wedding ... but yesterday, they spent the day taking in some sun at the hotel pool ... because, why not?

BALOZI WA MAREKANI NA BALOZI WA ULAYA WAMTEMBELEA RAIS JAKAYA IKULU DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Ulaya nchini aliyemaliza muda wake Bw Tim Clarke aliyekwenda kumuaga leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi wa Ulaya nchini aliyemaliza muda wake Bw. Tim Clarke wakati alipokwenda kumuaga Ikulu leo.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Balozi wa Marekani nchini aliyemtembelea kwa mazungumzo leo Alhamisi Desemba 8, 2011.


UGANDA YAINYUKA KILIMANJARO STARS MAGOLI 3-1 

Katika kipindi cha nyongeza Uganda wameshinda magoli 3-1 na kupata ushindi dhidi ya Kilimanjaro Stars waliokuwa nyumbani kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam katika michuano ya kombe la TUSKER CECAFA CHALLENGE CUP 2011 iliyofanyika leo ikiwa ni hatua ya nusu fainali. Kwa matokeo hayo Uganda itakutana na Rwanda ambayo tayari imeshakata tiketi yake baada ya kuifunga Sudan magoli 2-1 siku ya Jumamosi . Kama unavyoona hapa makocha wa timu ya Uganda walikuwa wakiwapasha misulia wachezaji wao kabla ya kuanza kipindi cha dakika 30 za nyongeza.
 
Mapigano makali yatokea Mogadishu
Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, umekumbwa na moja ya mapigano makali kutokea katika miezi kadhaa, kwa kile kinachoonekana kuwa ni kikwazo kikubwa kwa serikali.
Mapigano hayo yalianza baada ya alfajiri kati ya wapiganaji wa al-Shabab na vikosi vya serikali vikisaidiwa na vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Afrika AU.
Vikosi vya AU vinaarifiwa kutumia vifaru na silaha nzito.
Al-Shabab waliondoka Mogadishu mwezi Agosti na serikali ikatangaza kuwa inaudhibiti mji huo.
Mapigano yametokea katika wilaya za kaskazini za Karan na Huriwa siku ya Alhamis.
Kuna taarifa za majeruhi lakini taarifa za kina hazijapatikana bado.
Inafuatia shambulio la al-Shabab Jumatano kwenye kambi ya kijeshi inayoendeshwa na vikosi vya AU katika mji wa Wadajir kusini mwa Mogadishu.

No comments:

Post a Comment