Pages

Pages

Saturday, December 10, 2011

SUPERMAN MAGESE NIKO TANGA WADAU

 Safari ilianza namna hii.Naelekea kwenye shoo ya malkia wa michano inayofanyika mkwakwani jumamosi hii.
 Mwendo mdundo haina kuchimba dawa.
Mida ya saa nee usiku mita ya wami.
 Superman amewasili Tanga mida ya saa tano na ushee.
 Nilichoka sana njiani nilifurahi kufika japo tulicherewa sana njiani.
   Wadau.
 
   Naingia Tanga beach reasort hotelii yenye mvuto mjini Tanga.
 Asubuhi ya leo Magese na Jose Mtambo tukiangalia mitaa ya Sahare.
 Mambo ya Tanga Mchezo wa bao bado upo kwa watoto.
      Kitaani sasaaaa...
 Tanga Beach Resort hoteli pacha na Giraffe ocean view hotel.
 
 
Moja ya wafanyakazi wa GIRAFFE HOTEL tulikuna hapo tukastorisha kichizi.
 Tunajiachianamna hii ndani ya Tanga Beach Resort.
 
 
 Mambo ya Tsh kumi ya zamaniiiii...tanga kila kitu nazi..hata chips zina nazi..mmmh!!
 Mambo ya tanga mjini.
Picha na matukio ya Tamasha la Malkia wa michano ntakumwagia punde linaanza muda si mrefu wasanii kibao wa bongo flava wako huku.STAY TUNED

No comments:

Post a Comment