Pages

Pages

Thursday, December 1, 2011

MAGESE IS BACK....STRESS IS OVER (I LIKE MY SEXY BODY)

           The Animal Magese,Picha nimejipiga mwenyewe leo asubuhi nilipoamka.
          Superman is back....Unstoppable
Magese from the sress,ni mazoezi ya mwezi mmoja tu nilipoweka kambi ya mazoezi katika gym kurudisha my sexy body awali niliachana na mazoezi takribani miaka miwili iliyopita...Dares salaam ..STAND UP!!


HALI YA VENGU YAZIDI KUWA TETE
 
     WINGU zito limetanda kwa mastaa nchini wakionesha majonzi makubwa juu ya afya ya staa mwenye uzani wa juu Bongo, Joseph Shamba a.k.a Vengu (pichani) ambaye hali ya afya yake ni tete, kalamu ya Risasi Mchanganyiko inaandika kwa simanzi.
  Vengu ambaye ni mchekeshaji wa Kundi la Orijino Komedi linalorusha michezo yake kupitia Kituo cha Runinga cha TBC1 cha jijini Dar es Salaam, kwa muda mrefu sasa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiendelea na matibabu huku ugonjwa unaomsumbua ukiwa siri.

  Habari ambazo zimepatikana mpaka sasa, zinaeleza kwamba Vengu anasumbuliwa na maradhi ya kichwa bila kufafanua zaidi aina ya tatizo alilonalo kichwani.

  Kwa nyakati tofauti, mastaa wameonesha vilio vyao juu ya staa mwenzao huyo kwa kile walichoeleza kuwa wanafichwa maradhi yanayomsumbua, lakini pia hawapati taarifa rasmi kutoka kwa watu wa karibu na msanii huyo ili nao waweze kuonesha undugu wao kama familia moja katika fani.
  Mastaa waliopata fursa ya kuzungumza na gazeti hili kwa njia ya simu, juzi Jumatatu na kutoa maoni yao ni Vincent Kigosi ‘Ray’, Ruth Suka ‘Mainda’, Maimartha Jesse, Aunt Ezekiel, Mhe. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Ambwene Yesaya ‘AY’ na Jacqueline Wolper.
  Ray, Mainda, Aunt na Wolper ni wasanii wa filamu, Maimartha ni mtangazaji, AY ni mwanamuziki wa Bongo Fleva wakati Sugu ni Mbunge wa Mbeya Mjini huku akiendeleza harakati zake katika muziki wa kizazi kipya. 





MWANAMKE MMOJA NA WATOTO WANE WAPIGWA RISASI

Detectives say a man shot four children and a woman outside a Bay City Texas home before turning the gun on himself.
The shooting took place at about 3:18 pm at a home in the 2700 block of 10th Street in Bay City and when police arrived on the found six people had been shot.

No comments:

Post a Comment