Pages

Pages

Thursday, December 15, 2011

MWISHO AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA MERYL WA NAMIBIA

Ilikuwa siku ya kupendeza kabisa kwa ndugu Mwisho Mwampamba na Mwanadada Merly kutoka Namibia kufunga pingu za maisha nikimaanisha ndoa na kuitwa mume na mke. Ndoa hii ilifungwa tarehe 10 mwezi huu wa 12 pande za Parliament Gardens Windhoek Namibia.
Nawatakia maisha mema katika ndoa yenu pamoja na malezi mema ya mtoto wenu mliompa jina la Monkey.

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA PSPTB NA KUKAGUA UJENZI WA JENGO LA (EAC)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, , Mheshimiwa Pireira Ame Silima (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya The Procurement and Supplies Proffessionals and Technician Board (PSPTB), Bw. Noel Mrope baada ya kufungua mkutano wa mwaka wa PSPTB kwenye kituo cha kimataifa cah mikutano cha AICC mjini Arusha , December 14,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu, Mwenyekiti wa Bodi ya The Procurement and Supplies Professionals and Technician Board (PSPTB), Sister Catherene Bandiho(kushoto) baada ya kufungua mkutano wa mwaka wa bodi hiyo kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha AICC, Desemba 14, 2011. Watatu kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPTB, Noel Mrope.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , akikagua ujenzi wa jengo la ofisi za makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Mjini Arusha Desemba 14, 2011ambalo linatarajiwa kuwa limekamilka ifikapo Februari mwakani. Kushoto ni Mratibu wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo hilo, Phil Klerruu na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya anayeshughulia Fedha na Utawala, Dr. Rotich. 


 J-LO AMUHONGA GARI MPENZI WAKE


Most women love to be wined and dined and spoiled with exotic gifts but are the tables turned in J. Lo’s new relationship?  It looks like her new 24 year old boy toy slash back up dancer Casper Smart has hit the jack pot as J. Lo recently gave him a brand new drop top Bentley to drive.   Even though he has had several run ins with the law in the past for drag racing and driving without a valid license, J. Lo hasn’t completely lost her marbles.  He’s only allowed to drive the car during their courtship (meaning when she decides he’s finished – she takes the car…and he’ll probably be without a paycheck too), however he gets to use the whip for personal use as well.
Casper Smarts Car
Damn, Christmas is coming early around these parts.  These young boys have Cougars losing their minds. I guess he was too good for a FIAT. Meanwhile, Marc Anthony can’t be taking this too well seeing as though they just split in July. At least there’s room in the back for the baby seats…

No comments:

Post a Comment