Pages

Pages

Monday, December 19, 2011

RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA MABALOZI WAPYA IKULU DAR ES SALAAM LEO


 Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Phillip  Marmo, kuwa Balozi wa China, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika mchana huu, Ikulu Dar es Salaam. Marmo awali alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge.



 Mabalozi wapya waliofia Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete, wakisubiri kuapishwa.


 Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Dkt. Batilda Buriani,  kuwa Balozi wa Kenya, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika mchana huu, Ikulu Dar es Salaam. Batilda awali alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira). 


 Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Dkt. Deodorus Kamala, kuwa Balozi wa Ubelgiji, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika mchana huu, Ikulu Dar es Salaam. Kamala, awali alikuwa ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.


 Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Ally A. Saleh, kuwa Balozi wa Oman, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika mchana huu, Ikulu Dar es Salaam. Saleh, awali alikuwa ni Balozi Mdogo wa Dubai.


 Rais Jakaya Kikwete, akimwapisha, Shamim Nyanduga, kuwa Balozi wa Msumbiji, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha mabalozi wapya iliyofanyika leo mchana huu, Ikulu Dar es Salaam. Nyanduga awali alikuwa ni Naibu Mkuu wa Itifaki, Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.


 Samim Nyanduga, akipongezwa na Mumewe, baada ya kuapishwa rasmi kuwa Balozi wa Msumbiji, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam leo. Nyuma yao ni wanafamilia wa Familia hiyo.


BONDIA MAUGO AMKALISHA SELEMANI SAID

Refarii akimuesabia bondia Selemani Saidi Baada ya kupokea kichapo toka kwa Mada Maugo jana
Bondia Mada Maugo (kulia) akipambana na Selemani Said, wakati wa mpambano wao uliofanyika mzalendo pub jana Maugo alishinda KO raundi ya tatu

No comments:

Post a Comment