Pages

Pages

Wednesday, January 11, 2012

AJALI INGINE YA MALOLI YATOKEA MKOANI MBEYA

Tela la roli lenye nambari ya usajili T 563 AAH na kichwa cha roli aina ya Scania yenye nambari T 504 ARA, lililokuwa likiendeshwa na dereva Juma Mombeki kutoka Jijini Mbeya kuelekea Jijini Dar es salaam na kisha kupinduka Mlimanyoka jijini Mbeya.
Kupishana kwa magari ya mizigo ndio sababu ya kupinduka kwa tela la roli lenye nambari ya usajili T 563 AAH na kichwa cha roli aina ya Scania yenye nambari T 504 ARA, lililokuwa likiendeshwa na dereva Juma Mombeki kutoka Jijini Mbeya kuelekea Jijini Dar es salaam katika eneo la Mlimanyoka kama inavyoonesha pichani, roli hilo likipishan ana roli jingine lenye nambari T 620 AUU lenye tela nambari T 468 AZH lililokuwa likielekea nchi ya Zambia kutokea Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment