TIMU YA TAIFA YA NGUMI YAENDELEA NA MAZOEZI
Kocha
wa timu ya taifa ya mchezo wa ngumi, Edward Lyakwipa (kushoto)
akimwelekeza bondia, Mohamed Abdul jinsi ya kuikwepa ngumi uku ukiwa
kwenye gadi wakati wa mazaoezi ya kambi hiyo iliyopo uwanja wa ndani ya
taifa Dar es salaam.
Baadhi
ya mabondia wa timu ya taifa ya Masumbwi wakifanya Mazoezi ya pamoja
katika kambi yao iliyopo Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam leo.
No comments:
Post a Comment