Pages

Pages

Tuesday, January 3, 2012

BREAKING NEWS AJALI YAUWA WAWILI MOROGORO

 Baadhi ya abiria wakitokwa na machozi baada ya kusalimika na ajali hiyo iliotokea leo eneo la doma barabara ya kuelekea Iringa kutoka Morogoro wilayani Mvomero.
Askari usalama wakichukua maelezo toka kwa abiria waliosalimika katika katika ajali hiyo iliotokea mida ya saa kumi jioni na kusababisha vifo vya watu wawili na watu 29 kujeruhiwa,majeruhi wote wamefikishwa katika hospitali ya rufaa ya Morogoro leo.

No comments:

Post a Comment