Pages

Pages

Wednesday, January 4, 2012

BREAKING NEWS: MBUNGE HAMAD RASHID ATIMULIWA NA WENZAKE WATATU

Mbunge wa Wawi  kwa tiketi ya (CUF), Hamad Rashid Mohamed.
Habari zilizotufikia hivi pundu ni kwamba Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed, na wenzake watatu akiwemo Shoka Hamis wametimuliwa katika uongozi wa CUF.

No comments:

Post a Comment