DK SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA OMAN IKULU
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Balozi wa Oman Ali Ahmed Saleh,aliyefika
kujitambulisha na kumuaga Rais kutokana na wadhifa wake huo alioupata
Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Balozi wa Oman Ali Ahmed Saleh,aliyefika
kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment