Pages

Pages

Friday, January 13, 2012

CHAZ BABA AREJEA JIJINI DAR

Mwanamuziki mpya wa Bendi ya Mashujaa,Charles Gabriel a.k.a Chaz Baba akiwasilli kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jana jioni akitokea nchini Dubai alikokuwa amekwenda kwa mapumziko mafupi baada ya kuikacha Bendi yake ya awali ya African Stars (Twanga Pepeta).
Charles Baba akiwa ameshikilia maua mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere jioni ya leo tayari kwa kujiunga na bendi yake mpya ya Mashujaa.
Charles Baba akikabidhiwa uwa na mmoja wa vimwana wa karibu wa bendi ya Mashujaa leo kwenye uwanja wa ndege wa Mawlimu J.K.Nyerere.

No comments:

Post a Comment