DIAMOND AMCHIMBA BITI WEMA BAADA YA KUBANIWA PENZI
Wema Isaac Sepetu.
MWANAMUZIKI
Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond’, (pichani juu), anadaiwa kumpa vitishio
aliyekuwa mpenzi wake Wema Isaac Sepetu kufuatia kitendo cha mlimwende
huyo kumbania penzi.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Wema, vitisho hivyo vimekuwepo tangu
wawili hao walipofarakana baada ya mrembo huyo kudai kumfumania Diamond
na Miss Tanzania namba mbili 2006/07,…
No comments:
Post a Comment