Pages

Pages

Monday, January 2, 2012

HARUSI YA MKWERE VITUKO TUPU..!!


Chereko, vifijo, shangwe, nderemo na vigelegele vilitawala kila kona ya ukumbi huku watu wakivunjika mbavu kwa vituko kwenye harusi ya komediani matata Bongo, Hemed Maliyaga ‘Mkwere’.jasiri haachi asili...!!
Tukio hilo lilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Delux Hotel Sinza, Dar es Salaam, usiku wa Ijumaa baada ya Mkwere wa Kundi la Mizengwe, kufunga ndoa na Fatma Abdallah Massawa siku hiyo mchana Mabibo, Dar.

No comments:

Post a Comment