KOZI YA MCHEZO WA NGUMI NI ZAMU YA MAKOCHA KUTUPIANA MASUMBWI
Kocha
wa Tmu ya JKT, Saidi Omari 'Gogo Poa' (kushoto) wakioneshana ufundi wa
kutupa makonde na Kocha wa Timu ya Ashanti pamoja na Timu ya Mkoa wa
Kimichezo Ilala. Rajabu Mhamila'Super D' wakati wa mazoezi ya vitendo
yanayoendelea Kibaha Mkoa wa Pwani leo kwenye kozi ya kimataifa ya
mchezo wa ngumi.
Kocha
mchezo wa ngumi wa Timu ya Ashanti pamoja na Timu ya Mkoa wa Kimichezo
Ilala. Rajabu Mhamila'Super D' (kushoto) akitupiana makonde na kocha wa
Mkoa wa Pwani, Gaudence Uyaga wakati wa mazoezi kwa vitendo kwa makocha
hawo ambao wapo katika kozi ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi Duniani
No comments:
Post a Comment