Pages

Pages

Sunday, January 22, 2012

RAIS KIWETE AKIONGOZA HAFLA YA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU JEREMIAH SUMARI VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah Sumari likiwasili katika uwanja wa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo January 21, 2012 tayari kwa kupewa heshma za mwisho 

Rais Kikwete akitoa heshima zake za mwisho

Rais Kikwete akimpa pole mjane Mama Miriam Sumari
Rais Kikwete akiongoza umati mkubwa wa waombolezaji katika halfa hiyo

Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman, Spika Anne Makinda na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe kwenye hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment