Pages

Pages

Friday, January 6, 2012

MKE WA BEBE COOL AENDA KUJIFUNGULIA MAREKANI

Bibie Zuena Kirema  Mke wa  Bebe Cool toka Uganda ambaye anatarajiwa kujifungua twins anatarajiwa kuelekea nchini Marekani kwenda kujifungua
Za chini ya Carpet zinadai kuwa Bebe Cool miezi 3 nyuma alikua kwenye mishe mishe za kutafuta visa na nia yake ni kupata watoto ambao watazaliwa Marekani na kupata uraia,na pia awe kwenye mikono salama ya Mama yake Bebe Cool anayeishi Marekani

No comments:

Post a Comment