Pages

Pages

Friday, January 6, 2012

VOTE FOR GLADYS SHAO MISS UNITED STATED INTERNATIONAL UNIVERSITY.

Anaitwa Miss Gladys Shao mtanzania anayewakilisha chuo chake anachosomea kwa sasa Kenya. Gladys ni mshindi wa Miss United States International University
(USIU) mwaka 2010/2011 ila kwa sasa anagombea taji hilo tena na anahitaji kura zenu za kutosha kutoka nyumbani TZ. 
Jinsi ya kumpigia kura unatakiwa uingie katika website maalumu iliyowekwa kwaajili ya kupiga kura hizo. Ukiingia kwenye website hii http://www.pambazuka.co.ke/ pembeni upande wa kulia kuna sehemu imesema Vote Now so utachagua jina la Gladys Shao nakumpa kura yako. Mwisho wakupiga kura ni tarehe 20 mwezi huu so haujachelewa

No comments:

Post a Comment