Pages

Pages

Monday, January 16, 2012

PENZI LA JACKIE PENTEZEL NA TIMBULO VURUMAI TUPU

 Penzi la mastaa wawili kati ya Jacky Pentezel na Timbulo limechukua sura mpya baada ya wawili hao kuwa chui na paka baada ya kumwagana,hivi karibuni Msanii Timbulo alifanya mahojiano na UNIQUEENTERTZ pia katika ktuo cha CapitaL fm na kudai kashamwagana na na mdada huyo na kwasasa yuko single.
  Tulipofanya mahojiano na Jcky leo asubuhi alisema hamjui Timbulo kama ni mpenzi wake zaidi ya kuwa karibu tu na hajawai kuwa mpenzi wa sharobaro huyo" nashangaa sana huyo bishoo kudai eti mimi ni mpenzi wake!! ...ujue anataka umaarufu kupitia jina langu" alilalama Jackie.
Timbulo alifunguka kwa njia simu na kudai kachoshwa na penzi la msanii huyo wa filamu " kanizidi sana umri ni sawa kama ananibabaka nimekuwa sifurahii penzi la jackie toka siku ya kwanza nilipomjua "kimalavidavi" ndipo nilipoamuamua kuachana nae sioni raha ya penzi nachoka tuuu" aliongea kwa mbwembwe Timbulo.
 Kali kushinda yote ni wimbo mpya wa timbulo wa "wa leo wa kesho" alimuimbia jackie leo hamtaki tena ..!!

No comments:

Post a Comment