Pages

Pages

Tuesday, January 10, 2012

SIMON GROUP WAKALIA KUTI KAVU MRADI WA UDA

Dr. Didas Masaburi Meya wa Jiji la Dar es salaam
Mr Simon mmiliki wa Simon Group
Sakata lililodumu miezi kadhaa iliyopita kutoka mwaka jana, leo limeingia katika sura mpya baada ya Madiwani wa Jiji la Dar es salaam wakiongozwa na Meya wa Jiji Mh. Dr Masaburi kustopisha mkataba huo wa kuipa nguvu kampuni ya Simon Group katika kuiendesha biashara ya Shirika la UDA

No comments:

Post a Comment