AJALI YATOKEA BARABARA YA MOROGORO LEO
Gari
kubwa Roli aina ya Sania, likiwa limeangua pembezoni mwa barabara ya
Morogoro eneo la Kiluvya jana, haikuweza kufahamika chanzo cha ajali
hiyo na haikuweza kufahamika hasara na majeruhi waliotokana na ajali
hiyo.
No comments:
Post a Comment