Pages

Pages

Saturday, February 4, 2012

KIKWETE AWASILI MWANZA KUHUSU SHEREHE ZA MIAKA 35 YA CCM

MwenyEkiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 35 ya CCM zitakazofanyika kesho jijini Mwanza
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mtoto Maganga mwenye umri wa miaka mitatu ambaye pamoja na mama yake walikuwa katika mojawapo ya vikundi kadhaa vya ngoma za asili zilizomlaki uwanja wa ndege wa Mwanza leo January 4, 2012 alikotua tayari kwa kujiunga na wana CCM kusherehekea miaka 35 ya chama hicho tawala.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo January 4, 2012 alikotua tayari kwa kujiunga na wana CCM kusherehekea miaka 35 ya chama hicho tawala.

No comments:

Post a Comment