BALOZI WA SUDAN AKUTANA NA DK.SHEIN IKULU LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Balozi wa Sudan Nchini Tanzania Dkt Yassir
Mohamed Ali alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Balozi wa Sudan Nchini Tanzania Dkt Yassir
Mohamed Ali alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment