Pages

Pages

Monday, February 13, 2012

BEYONCE NA JAY Z WAONYESHA PICHA ZA MTOTO WAO.

Blue Ivy Carter.
Beyonce akiwa na Blue Ivy.
Jay Z akiwa na mwanae Blue Ivy.
Beyonce na JAY Z wameamua kuonyesha picha za mtoto wao wa kike aitwaye, Blue Ivy Carter baada ya kuzificha kwa muda mrefu tokea alipozaliwa Januari 7, 2012.
Picha hizo wamezitoa katika ukurasa wa mtandao wao mpya wa Tumblr na zimeambatanishwa na ujumbe usemao "Tunawakaribisha kushiriki katika furaha yetu. Asanteni kwa kuheshimu maamuzi tuliyoamua katika kipindi hiki kizuri cha maisha yetu - Familia ya Carter," Wazazi hao Beyonce mwenye umri wa miaka 30 na mumewe Jay Z mwenye miaka 42 waliandika katika ukurasa huo.

No comments:

Post a Comment