Pages

Pages

Thursday, February 9, 2012

SAMSUNG YATOA OFA YA WAPENDANAO

Meneja wa Mauzo wa Kampuni ya SAMSUNG, Bw. Sylvester Manyara (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kueleza bidhaa za kampuni hiyo zilizopo katika ofa maalumu ya kuelekea sikukuu ya Wapendanao, Dar es salaam leo kushoto ni Msimamizi wa bidhaa hizo Bw. Joseph Safari
Meneja wa Mauzo wa Kampuni ya SAMSUNG, Bw. Sylvester Manyara (kulia) akiwaonesha waandishi wa habari moja ya bidhaa za kampuni hiyo zilizopo katika ofa maalumu ya kuelekea sikukuu ya Wapendanao, Dar es salaam leo kushoto ni Msimamizi wa bidhaa hizo Bw. Joseph Safari

No comments:

Post a Comment