Pages

Pages

Monday, March 19, 2012

DK. HARRISON MWAKYEMBE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI OFISINI KWAKELEO

  Nauibu Waziri wa Ujenzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akiazungumza na waandishi wa habari   ofisini kwake jijini Dar es salaam leo, kuhusu maendeleo ya afya yake baada ya kurejea nchini ambapo amesema kuwa kwa hivi sasa anaendelea vizuri na kwamba yupo fiti kiafya, na tayari ameripoti ofisini rasmi leo kwa kuanza kazi. Mwakyembe hakutaka kuweka wazi kuhusu mambo mengine aliyokuwa akiulizwa na waandishi wa habari kuhusu uvumi ulioenea juu ya afya yake na kusema mambo yote anaiachia serikali kupitia tume maalumu iliyoundwa kufutilia suala la ugonjwa wake.

No comments:

Post a Comment