Pages

Pages

Tuesday, March 6, 2012

HAFLA YA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Songea akitoa nasaha zake kwa wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha Dar es Salaam, aliwahusia kujifunza kwa bidii ili waje kuwa waandishi wenye kufuata ueledi wa tasnia ya habari nchini 

Injinia Manyanya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa na Mbunge Viti Maalum Songea akikabidhi zawadi kwa Miss DSJ 2012 Loveness Moris
Wanafunzi walivyohamasika kwenye hafla hiyo ambapo pia walifanya mashindano ya kumtafuta Miss na Mr. DSJ 2012 iliyofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala Dar es Salaam juzi

No comments:

Post a Comment