Pages

Pages

Wednesday, March 28, 2012

KAMPENI ZA CHADEMA ARUMERU MASHARIKI

Nassari akiwa karibu na helkopta,usafiri anaoutumia kwenye kampeni zake.Anafanya mikutano mitano hadi sita kwa siku
Mh.Freeman Mbowe akimuombea kura Nasari
Mzee maarufu wa CCM aliyerejesha kadi na kujiunga CHADEMA akimnadi Joshua Nassari
Nasari akisalimia watu baada ya mkutano
Nasari(katikati) akisindikizwa kwenye helkopta.Kushoto ni Kamanda Renatus Mrashani katibu wa CHADEMA mkoa wa Dar es salaam,na kulia ni kamanda Jackson Makala
Joshua Nassari akiomba kura katika kijiji cha Nshupu jana
Picha zote na Jacson W. Makala

No comments:

Post a Comment